ACK EMCO ACADEMY

Tangazo! Tangazo! Tangazo! shule ya msingi ya ACK EMCO Academy mutune, Kitui inawaalika kwenye usajili wa Wanafunzi kuanzia darasa la Play group PP1, PP2, Grade 1, grade 2 mpaka grade 3. Masomo ya kisasa ya CBC yanayofunzwa na walimu hodari yatakuwemo na Usajili wa Watoto unaendelea kwa sasa. Kwa maelezo Zaidi piga nambari 0718749203. Maisha yako ya baadaye yanaanzia hapa. Karibuni nyote